Sunday 19 April 2015

JINSI PETER OKOYE WA P SQUARE ALIVYODATA NA REALITY TV SHOW YA "WEMA SEPETU IN MY SHOE"...................

Yes!! Kundi la P Square toka Nigeria lina historia yake kubwa na kuheshimiwa pia kwenye muziki wa Afrika.. Peter Okoye wa P Square alishea na watu wake kwenye ukurasa wake wa Instagram post akiwa kwenye studio za kituo cha BBC London, akiigiza kama repoter wa kituo hicho.

 Haikumaanisha ndio kawa ripota kweli.. bado ni yeye na muziki, sasa hivi unaambiwa nae kaamua kuweka nguvu upande mwingine, Peter ni dancer mzuri sana.. anajua kwamba kuna watu mtaani wa vipaji vya kucheza kama yeye, amezindua reality show yake ya TV inayoitwa ‘Dance Nigeria with Peter’.
 Peter amesema anafurahi kuwa na project hiyo ambayo kwake yeye ni ishara ya uzalendo kuanzia nyumbani kwao.
Kwa habari tamu na zakuvutia toka ndani na nje ya bongo usikose kututembelea wakali wa burudani ALIWANTZ.BLOGSPOT.COM

No comments:

Post a Comment