Wednesday 9 December 2015

Baadhi ya picture za mzee wa selfie koffi olomide kwenye show yake bongo...!!

Usiku Dec 8 wakazi wa Dar es Salaam walipata burudani kali kutoka kwa Mwimbaji wa Congo DRC Koffi Olomide kwenye  show ya Selfie 16 na kusherehekea kutimiza  miaka 16  ya Clouds FM iliyofanyika Escape One Mikocheni.
Hizi ni baadhi ya picha kutoka  eneo hilo la tukio. Baadhi ya wasanii kutoka bongo na walikuepo..
source: millardayo.com
                                                           Baraka da prince




























Ruby

Christian bella hapo chini


No comments:

Post a Comment