Sunday 3 May 2015

 Hivi ndivyo ilivyo kuwa katika mpambano mkali dhidi ya Mayweather na Man pacquiao.

Raia wa Ufilipino wamekubali kunyeshewa na mvua wakati walipokuwa wakishuhudia mpambano wa karne kati ya Man pacquiao na Mayweather

Watoto wa Ufilipino wakishangilia wakati Man Pacquiao alipokuwa anaingia ulingoni

Angalia raia wa Ufilipino walivyokuwa wamekusanyika kushuhudia mpambano wa mbunge wao jijini Manila
Hawa ni mashabiki ambao waliambatanana Pacquiao nchini Marekani

Watu wakionesha nyuso za kusikitisha mara baada ya mchezo kuonekana unakuwa mgumu kwa Man Pacquiao

Wakati mchezo ulipokuwa unaelekea mwishoni hali ilikuwa hivi


Baada ya mchezo kumalizika hali ilikuwa hivi Pole sana raia wa Ufilipino na hongera kwa kuonesha uzalendo

No comments:

Post a Comment