Tuesday 30 August 2016

DIAMOND PLATINUMZ KWENYE NGOMA MOJA NA FRENCH MONTANA..!!!

Safari ya msanii Belle 9 kuitembelea label ya WCB amejifunza vitu vingi na kupata nafasi ya kusikiliza baadhi ya kazi mpya za Diamond Platnumz ambazo bado hazijatoka hewani
".Nilipofika tu ofisini kwake kuna vingi sana nimejifunza pia alinionesha bendi yake mpya ambayo ataanza kuzunguka nayo nchi mbalimbali, pili alinisikilizisha nyimbo zake mbili mpya aliyofanya na Wizkida nyingine amefanya collabo na msanii kutoka Marekani French Montana ni kazi nzuri sana"
Unaweza ukabonyeza play kumsikiliza Belle 9 akieleza collabo mbili mpya za Diamond ikiwemo ya French Montana; bonyeza hapa

No comments:

Post a Comment